POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, December 18, 2014

Mwanaume Aliyetumia Zaidi ya Million 230 Kujibadilisha Afanane na Kim Kardashian!


Kweli ukisikia ustaa unatakiwa kuigwa lakin huyu jamaa yeye amefanya jambo la aina yake, Staa Kim Kardashian ambaye ana mashabiki kila kona ya dunia lakin shabiki yake huyu amevunja rekodi kwa kutumia zaidi ya euro £100,000 sawa na shilingi 230,000,000 million za kitanzania ili tu ananae na staa huyo.


Shabiki huyo anayejulikana kwa jina la Jordan James Parke mwenye umri wa miaka 23 amechora mpaka tattoo za macho ambazo staa Kim K amechora na alipo hojiwa na mtando wa mirror alikiwa na haya ya kujibu

“I love everything about Kim. She’s the most gorgeous woman ever. Her skin is perfect, her hair, everything about her," “I’m addicted to lip-fillers. The bigger, the better. I’ve never felt better about myself. I laugh when people try to insult me by telling me I look plastic or fake. Do they think I’m going for the natural look? If I was, I’d ask for my money back.”

Alimaliza kwa sema hivyo hizi ni picha zake zingine





No comments:

Post a Comment