Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Gedion M Kimilu.
JESHI la Polisi nchini Kenya leo limetoa majina ya watuhumiwa wawili
wanaosakwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Mandera ambao ni
Mohamed Mohamud aka Dulyadin aka Gamadheere kutoka Garissa na Ahmed Iman
kutoka Majengo jijini Nairobi.
No comments:
Post a Comment