Aisha Madinda - enzi za uhai wake
ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.
Kujua matukio na stori mbali mbali alizowahi kupitia msanii huyu maarufu Bongo na kuripotiwa na mtandao huu, nenda hapa: STORI ZA AISHA MADINDA
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
No comments:
Post a Comment