Drake Na Chris Brown Kwenye Video Moja, Only Ya Nicki Minaj.
Rappa
Nicki Minaj amebadilisha Pink Fridaykuwa Black Friday kwenye video yake
mpya ya “Only” ikiwa ni single ya tatu kutoka kwenye album yake
mpya ya The Pinkprint. Huu ndio wimbo uliowakutanisha tena Chris Brown Na Drake.
No comments:
Post a Comment