MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO JIJINI DAR
Mkurugenzi
Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw.
Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya
maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza
kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa…

Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu yanayoanza
kesho Desemba 17-21, 2014 katika viwanja vyaMwalimu Julius Kambarage
Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi
Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw.
Abdulmalik Mollel akiwakaribisha wagei katika ofisi za GEL.
No comments:
Post a Comment