Kulikuwa na tetesi kuhusu Rihanna kusaini mkataba wa mamilioni na kampuni ya sneaker "Puma" lakini sasa imekuwa rasmi.Bad
gal Riri ameripotiwa kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa ubunifu wa Puma,
kazi yake mpya ni kusimamia na kuangalia nguo na viatu vya kike vya
michezo vya kampuni hiyo.
on the dotted line. #PUMA
Rihanna "atafanya kazi na kampuni hiyo ku-design na kutengeneza style mpya kuongeza katika bidhaa za Puma." kampuni hiyo imesema
Riri ambae pia ni balozi wa kampuni hiyo, alisafiri mpaka makao makuu ya Puma yaliyopo Herzogenaurach,
Ujerumani kuwa na session yake ya kwanza ya ubunifu na timu nzima ya
wabunifu, kuchagua rangi, style na kuweka mawili matatu yake kuhusu
malengo na muelekeo wa line hiyo.
“Signing
Rihanna is a fantastic step for Puma,” amesema chief executive officer
Bjørn Gulden. “Her global profile, her charisma and individuality, her
ambition – all these things make her a perfect ambassador for our brand.
With a strong portfolio in football, running and motorsport, finding an
inspiring partner for women’s training was very important. Rihanna was a
natural choice for us. We’re delighted to have her as a partner, and
we’re looking forward to what’s to come.”
Puma wameona mapato yao yanapungua kwa miaka mitatu iliyopita, kwahiyo wanatumaini kumuingiza Rihanna anaweza kubadilisha hilo
nothing is impossible with God! Very grateful for this opportunity #puma ameandika Riri kupitia account yake ya Insta Gram
No comments:
Post a Comment