Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka,
akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es
Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti
ya Escrow.
Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.
Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.
No comments:
Post a Comment