POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, December 17, 2014

Mapigo ya B Band Yampagawisha Uwoya

 Akionekana kama amesinzia kwa hisia kali mbele ya bendi ya muziki ya B Band inayomilikiwa na msanii mkongwe, Banana Zorro, picha hii ya mwingizaji Irene Uwoya ilizua maswali mengi kuwa anaonekana jama alikuwa amechapa kilaji sana na kulewa ndio akapandisha mizuka hii
au ni mapenzi na mahaba yake na wimbo au nyimbo ambazo zilikuwa zikipigwa na bendi hiyo.

Majibu ya maswali hayo yote anayo Uwoya mwenye, lakini waswahili wanasema picha inazungumza. Wewe je unamuonaje hapo??

No comments:

Post a Comment