POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, December 17, 2014

JESHI NCHINI KENYA LATOA MAJINA YA WAHUSIKA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI LA MANDERA


Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Gedion M Kimilu.
JESHI la Polisi nchini Kenya leo limetoa majina ya watuhumiwa wawili wanaosakwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Mandera ambao ni Mohamed Mohamud aka Dulyadin aka Gamadheere kutoka Garissa na Ahmed Iman kutoka Majengo jijini Nairobi.

No comments:

Post a Comment