POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, December 1, 2014

Baada ya colabo na T.I, Psquare waja na video hii mpya

wasanii wawili wakali Africa wanaounda kundi la Psquare kutoka Nigeria wamekuja na video ya pili mpya "Shekini" kutoka kwenye album yao ya 6 iliyoingia sokoni hivi karibuni "Double Trouble"  
Kama unaangalia sana Tv za kimataifa utagundua kuwa video ya Psquare feat T.I "Eje ajo" inafanya vizuri sana na inachezwa kila baada ya muda lakini ukiangalia video hii utagundua kuwa mivunjo ya ndani imeitendea haki ngoma hiyo ambapo wanaonekana wakiwa wamejumuika na dancers wadogo wenye mivunjo ya hatari...

No comments:

Post a Comment