POOL PARTY

POOL PARTY

Saturday, June 8, 2013

Cover ya Albam Mpya Kutoka Kwa Rapper Wale.


Rapper Wale ametoa Orodha kamili ya nyimbo kwenye album mpya na Cover La Album Hio, Updates za Orodha hii ni pamoja na kuachia majina ya wasanii waliohusika kwenye nyimbo hizo kama Nicki Minaj, Wiz Khalifa, Cee-Lo Green Na Juicy J na wasanii wengine kutoka Maybach Music Group Wapo kwenye album ya "The Gift" Inayotoka tarehe 25 June. Cd ya mwisho ya Wale ilikuwa Ambition November 2011 na ilishirikisha Wasanii kama Kid Cudi,Miguel Na Rick Ross.

No comments:

Post a Comment