POOL PARTY

POOL PARTY

Sunday, October 13, 2013

YULE KAKA AKE NA JOKATE ANAYE JIITA LUCCI NAYE ATOA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA-SUMU

Ukiangalia comment za watu kuhusu video hii kwenye youtube channel ya Transformax record, watu wengi wamelidhishwa na ubora wa video na nyimbo yenyewe kwa kumpa big up director Nisher na Lucci . Chukua muda wako uiangalie hapa

No comments:

Post a Comment