POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, October 24, 2013

Picha 10 za mashabiki wa Diamond wakiwa na mavazi / mapozi kama yeye

Hakika Diamond ana mashabiki wanaomkubali na kufatlia kila akifanyacho kuanzia mavazi mpaka mapoz ya picha zake. leo hii kupitia ukurasa wakw wa instagram amepokea picha tisa baada ya kuuliza swali hili


diamondplatnumz
Unahisi una picha yoyote ambayo imefanana na yangu kwa Poz ama hata Mavazi.. it doesn't matter if you are a Boy or Girl....Now ambatanisha kama hivi halaf Hash tagg neno #Minadiamond itanifikia halaf ntaipost na kuku Cc: hapa kila mtu aone na Kucomment.... kumbuka ni #Minadiamond #Minadiamond.







No comments:

Post a Comment