POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, October 24, 2013

Coming Soon: Captain wa Bongo Fleva soon kuachia "Msambinungwa" akiwa na Alikiba

Captain wa Bongo Fleva Tanzania, Tunda Man soon anadondonsha pini jipya  "Msambinungwa" aliyoifanya  chini ya producer Shedy Clever huku akiwa amemshirikisha Alikiba.


"Msambinungwa ni ngoma ambayo nimemshirikisha mwanangu, ndugu yangu, mnyamwezi wangu, mchizi wa geto, wengi wanamuita Alikiba au sio, ni ngoma moja kali, ngoma ya kuchezeka ngoma moja ambayo naifikiri kila mmoja ataipenda kwasababu ni kali kuliko, kaa mkao wa kula kwasababu sasa yoyote nitaidondosha ngoma hiyo Msambinungwa" amesema Tunda man

No comments:

Post a Comment