POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, October 21, 2013

DIAMOND "SIWEZI KUSAHAU DADA WA KWANZA NILIYEMUOMBAGA TUSHOOT VIDEO ALINIJIBU SIWEZI SHOOT NA MA UNDERGROUND"


Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika 
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi 
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni

 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009

No comments:

Post a Comment