POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, March 5, 2014

Shindano la Ndoto za Kitaa laendelea kuonyeshwa Clouds Tv,Washiriki wachunjwa hadi kufikia ishirini

shindano la ndoto za kitaa ambalo linaonyeshwa kupitia clouds tv kila siku za wiki kuanzia saa tatu na nusu, bado linaendelea huku likiwa na washiriki walichujwa na kufikia ishirini,
Clouds fm imewatembelea washiriki wa shindano hilo pale Land Mark hotel, Sinza na kupiga nao story, na kupigs stori na mfanyabiashara wa zabibu kutoka mkoani Dodoma na kuzipeleka Nairobi, ambaye yuko ndani ya mjengo anaitwa David Robert Matari, yeye akafunguka wazo lililomwingiza kwenye shindano hilo.
Kesho tutapiga stori na mshiriki mwingine,lakini pia unaweza ukatembelea Page ya facebook inaitwa ndoto za kitaa hapo utaweza kufahamu kila kinachoendelea kwenye shindano ndoto za kitaa, ambapo mwisho wa shindano mshindi atawezeshwa kufikia ndoto yake.

No comments:

Post a Comment