POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, March 14, 2014

MSANII IBRA DA HUSTLER APELEKWA REHAB NA MAMA YAKE BAADA YA KUZIDIWA NA MADAWA YA KULEVYA

MSANII wa Hip Hop aliyewahi kuwa katika kundi la Nako2nako na baadae akaamua kuwa solo artist,Ibra Da Hustler hivi karibuni juzi alipelekwa na mama yake pale Kigamboni Sober House kwa ajili kusaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya.Clouds fm imepiga stori na mama Ibra Da Hustler anafunguka hali ilivyokua mpaka akaamua kuchukua maamuzi magumu.

No comments:

Post a Comment