POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, March 14, 2014

Lil Wayne asisitiza "The Carter V" ndio itakuwa album ya mwisho ya The Carter

Album ya Lil Wayne inayotarajiwa kutoka mwaka huu "The Catter v" itakuwa ndio album yake ya mwisho kama solo artist, labda mtu ampe ofa ya dola miliomi 25 mpaka 35 kumfanya atengeneze album nyingine.
Wayne ametumia Interview alioifanya na MTV.com kutangaza kuwa baada ya album hiyo ya tano ndio itakuwa mwisho wa kutoa kwake kwa solo album.
 
"Nina plan ya kuwa hii ndio iwe album yangu ya mwisho kama solo artist, ndio na ni kweli hii ndio Carter album ya mwisho, ni album ya mwisho ya Carter, inaishia ya 5." Dola milioni 25 mpaka 35 zitanifanya nifanye solo album nyingine baada ya hii." amesema Lil Wayne.
 
The Carter V haijasemekana official itatoka tarehe ngapi kwa sasa, ila katika moja ya shows iliyofanyika New Orleand mwezi uliopita, Drake alimuita Lil Wayne na kutangaza kuwa album yake itatoka tarehe 5 May.
The Carter V ikitoka itakuwa ni karibu miaka 3 tangu alipoiachia "The Carter 1V"

No comments:

Post a Comment