Star Boy WizKid anaendelea kula bata na wanamuziki maarufu nchini Marekani, Los Angeles.
Hivi karibuni WizKid alionekana akiwa studio na Chris Brown pamojana Tyga na baadae akiwa na Justin Bieber.
Mwanamuziki / Muigizaji Tyrese alikuwa na house party na alialikwa pamoja na Akon kwenye party hiyo.
WizKid, amepost picha yake akiwa amekaa katikati ya Tyrese na Akon nakuandika
“Shoutout Tyrese! Sick house party the other day.”
No comments:
Post a Comment