Msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Suma Mnazaleti ndani ya studio za Global TV Online.
Na Said Ally MSANII anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Suma Mnazaleti, amesema umaskini mkubwa walionao wasanii wa Bongo unatokana na kampuni ambazo zinawadhamini, kwani nyingi zimekuwa zikiwanyonya.
Suma Mnazaleti ambaye kwa sasa anatamba na Wimbo wa Mnazaleti na ule wa Mkatoliki aliomshirikisha R.O.M.A, ‘alitia timu’ kwenye Ofisi za Global Publishers na kufanya mazungumzo kwenye Kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online.
No comments:
Post a Comment