POOL PARTY
Thursday, June 5, 2014
UKIKUTANA NA MHESHIMIWA RAIS WA NCHI UTAMUELEZA SHIDA GANI?
Kwa
upande wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz hivi karibuni alipoenda
nchini Marekani alipata nafasi ya kukutana na rais wa jamhuri ya
muungano wa tanzania,Dr Jakaya Mrisho Kikwete na alipoulizwa akamwambia
shida yake ni kufanya kolabo na wasanii wakubwa, ambapo rais Kikwete
alimkutanisha Diamond na mdau mkubwa wa muziki aliyewahi kuwa rais wa
record label kubwa ya Def Jam, na makamu wa rais wa Island Def Jam.Mchana
huu Diamond anatarajia kupaa kuelekea South Africa kwa ajili ya tuzo za
MTV zinazotarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii, na alikua na haya ya
kusema kwa mashabiki wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment