Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika
ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito… Kupitia page
yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa
pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im
nat wapenzi wangu’
No comments:
Post a Comment