Katika Hali Isiyo ya kawaida kuna baadhi ya watu ama Vikundi Instagram
wameanza kumchimba Diva Loveness Baada ya Kujitoa Team Wema, Sasa leo
wamekuja na Mpya na Kusema kuwa Diva anajiongezea makalio kwenye picha
zake kwa kutumia Photoshop, na Wameenda mbali zaidi na kutoa ushahidi wa
baadhi ya Picha jionee mwenyewe hapo chini na Ujudge mwenyewe kama ni
kweli ama la kwa kuziangalia hizo Picha:
|
Angalia hiyo Kabati ya Viatu Ilivyopinda pinda |
|
Angalia Ukuta na Frame ya Mlango ilivyopata Dhahama |
|
Angalia Kiti hapo nyuma na Juu ukuta kwenye rangi ya blue ukuta umeyumba na tako |
Wataalamu Kazi Kwenu kutuambia kama ni kweli ama wanamsingizia ..
Khaa Ustaa Kazi Kweli Kweli
No comments:
Post a Comment