STAA wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ameibuka kidedea kwenye shindano la Ijumaa Sexiest Girl kwa kura 370 huku mshindi wa pili Elizabeth Michael'Lulu' akipata kura 340 akifuatiwa na Nelly Kamwelu.
Shindano hilo lilifanyika katika viwanja Dar Live ,Mbagala usiku wa kuamkia leo na limeandaliwa na Global Publishers huku burudani ikisindizwa kutoka kwa Weusi(Nikki wa Pili,Joh Makini,G Nako) na Mkubwa na Wanae.
No comments:
Post a Comment