Zaidi
ya wasanii mia moja wakiwemo wasanii wa bongo fleva,taarab,gospel,na
wengineo wameungana kwa pamoja na wamerekodi wimbo wa wa kuhamasisha
sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) TANZANIA @50
Zaidi msikilize Mrisho Mpoto akizungumzumzia wimbo huo.
No comments:
Post a Comment