MAPATO NA UTAJIRI WA IRENE UWOYA WAZUA UTATA
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka
kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja
vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa
akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa
nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea
...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni
njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa
hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine
zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali
ninazopata
No comments:
Post a Comment