BAADA YA KIMYA KIREFU, PENNY ARUDI KWA KISHINDO KWA KUACHIA PICHA ZIKIONESHA MAUNGO YAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII..!!
Baada ya kuwa kimya
katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo
cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya
kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, tazama hapo chini
picha hiyo
No comments:
Post a Comment