BATULI "MUDA WA KUVAA NUSU UCHI UMEPITWA NA WAKATI"
Msanii wa Bongo Movies Ametoa ushauri
kwa waigizaji wenzake wa kike kuwa Muda wa kuvaa nusu uchi na kupiga
picha kuzitupia kwenye mitandao ili kupata umaarufu umekwisha, siku hizi
ukivaa nusu uchi unaonekana Malaya tu ...Amewaasa kuwa wafanye kazi na
kutoa kazi zinazouzika sokoni ...Amewaambia kuwa wajifunze kutoka kwake
kwani huwa anavaa vizuri uwezi kukuta picha zake za uchi uchi mitandaoni
No comments:
Post a Comment