POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, April 16, 2014

PENNY AAMUA KUJIINGIZA BONGO MOVIE BAADA YA UELEKEO WA MAPENZI NA DIAMOND KUPOTEA..SOMA HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibEVPjX-uJHiHuxUsKxIEkWXlVHgLovff0MrC7IvvXUr7Fza5hiS-td6ZlQ61PHhyphenhyphenhpPAjAbrHRJheTcMy1dt4RARhEeNwxegtfkWQK4JWZqPxqvEVBNaRkPEr4mB3R892wkTzHc01cTVD/s1600/Penny.jpg
Baada ya Mwanadada Penny aliyewahi kutoka na Msanii Diamond Platinum kupost na kwenye Account yake ya Instagram akionekana amekaa meza moja na msanii wa Bongo Movie Jacob Steven (JB) pamoja na mzungu mmoja na kuandika kuwa "kuna kitu kikubwa kinakuja katika viwango vikubwa na kibiashara zaidi" maswali ya watu wengi ni Je mwanadada huyo ameamua kuingia rasmi kwenye soko la Bongo Movie au ni Mchongo tu flani anategemea kuupiga, hilo hatujui lakini tusubiri inawezekana ikawa ni movie -

No comments:

Post a Comment