Mwaka jana ulikuwa ni mwaka mzuri sana
kwa Lupita baada ya kupata nafasi ya kuigiza kwenye movie "12 Years A
Slave". lakini mwaka 2014 unaokana kuchanua zaidi kwake kuzidi mwaka
uliopita sio tu kwa kushinda tuzo ya Oscar kama "Best Supporting Actress " lakini pia Nyong'o (31) amepewa tittle na People magazine ya kuwa the most Beautiful woman.
akiongea na magazine hiyo Lupita
amesema, alipokuwa mdogo alidhani tafsiri ya mwanamke mrembo ni yule
mwenye ngozi nyeupe na nywele ndefu zinazining'inia.
Ni rasmi Lupita atangazwa kuwa mwanamke mrembo wa mwaka 2014
Lakini Lupita
anajivunia kwa mafanikio yake na kuongeza kuwa, mama yake amekuwa
akimwambia kuwa yeye ni mrembo na mwisho kuna muda alimuamini.
Mshindi wa
Oscar pia ni kisura wa Lancome Paris, na atakuwa na busy time hasa
baadaya tetesi kuwa atakuwepo pia thriller ya Who Shot The Sherriff.
People
magazine pia wametoa list ya walioko kwenye top 10 ambao ni Keri
Russell, enna Dewan-Tatum, Mindy Kaling,Pink, Amber Heard, Gabrielle
Union, Molly Sims, na namba kumi ni Kerry Washington.
No comments:
Post a Comment