POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, April 24, 2014

Wema awapoteza Lulu,Jokate,Wolper,Nelly kwenye shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2013-2014


STAA wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ameibuka kidedea kwenye shindano la Ijumaa Sexiest Girl kwa kura 370 huku mshindi wa pili Elizabeth Michael'Lulu' akipata kura 340 akifuatiwa na Nelly Kamwelu.

Shindano hilo lilifanyika katika viwanja Dar Live ,Mbagala usiku wa kuamkia leo  na limeandaliwa na Global Publishers huku burudani ikisindizwa kutoka kwa Weusi(Nikki wa Pili,Joh Makini,G Nako) na Mkubwa na Wanae.










SHILOLE"NILIPEWA MIMBA NIKIWA NA MIAKA 14


Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in order to survive.

Shilole katika pitapita zake kwa bahati mbaya alijikuta akilazishwa mapenzi wakati akiwa na umri mdogo sana, msanii huyo akiwa na miaka 14 tu alijikuta akiwa na mimba . “nilipata mimba nikiwa mdogo sana yani hata maziwa ndio yanaanza sipendi kitu hiki kimtokee msichana mwengine kwa kweli na pia kwa wale wanaume wenye tamaa plz wanapoteza future za watu” alisema  shilole.

Baada yakupata mtoto wake huyo, aliangaika nae na baadae alijikuta akiolewa na mtu mwingine na kuweza kupata mtoto wake wa pili akiwa na umri wa 18 na mwisho wa siku alitoka ndani ya ndoa na kuhamia Dar na kuanza maisha upya.

MAPATO NA UTAJIRI WA IRENE UWOYA WAZUA UTATA


Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata

People Magazine wamtangaza Lupita Nyong'o the most Beautiful Star 2014

Mwaka jana  ulikuwa ni mwaka mzuri sana kwa Lupita baada ya kupata nafasi ya kuigiza kwenye movie "12 Years A Slave". lakini mwaka 2014 unaokana kuchanua zaidi kwake kuzidi mwaka uliopita sio tu kwa kushinda tuzo ya Oscar kama "Best Supporting Actress " lakini pia Nyong'o (31) amepewa tittle na  People magazine ya kuwa the most Beautiful woman.
akiongea na magazine hiyo Lupita amesema, alipokuwa mdogo alidhani tafsiri ya mwanamke mrembo ni yule mwenye ngozi nyeupe na nywele ndefu zinazining'inia.


Ni rasmi Lupita atangazwa kuwa mwanamke mrembo wa mwaka 2014 

Lakini Lupita anajivunia kwa mafanikio yake na kuongeza kuwa, mama yake amekuwa akimwambia kuwa yeye ni mrembo na mwisho kuna muda alimuamini.
Mshindi wa Oscar pia ni kisura wa Lancome Paris, na atakuwa na busy time hasa baadaya tetesi kuwa atakuwepo pia thriller ya Who Shot The Sherriff.

People magazine pia wametoa list ya walioko kwenye top 10 ambao ni Keri Russell, enna Dewan-Tatum, Mindy Kaling,Pink, Amber Heard, Gabrielle Union, Molly Sims, na namba kumi ni  Kerry Washington.

BATULI "MUDA WA KUVAA NUSU UCHI UMEPITWA NA WAKATI"


Msanii wa Bongo Movies Ametoa ushauri kwa waigizaji wenzake wa kike kuwa Muda wa kuvaa nusu uchi na kupiga picha kuzitupia kwenye mitandao ili kupata umaarufu umekwisha, siku hizi ukivaa nusu uchi unaonekana Malaya tu ...Amewaasa kuwa wafanye kazi na kutoa kazi zinazouzika sokoni ...Amewaambia kuwa wajifunze kutoka kwake kwani huwa anavaa vizuri uwezi kukuta picha zake za uchi uchi mitandaoni

MKE WA PETER OKOYE, LOLA OMOTAYO AJIBU SHUTUMA ZA KUSABABISHA UGOMVI WA P-SQUARE


Wakati mashabiki wa kundi la muziki linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, amevunja ukimya kwa kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa sehemu ya chanzo cha matatizo ya familia hiyo yaliyojitokeza.

Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:

I’m a Lady of Substance though I have my Shortcomings, I might not be Loved by Everyone but the People that matters to me hold me in High Esteem and thats enough for Me.”

Kwa mujibu wa Naija Gists, chanzo kimoja kimesema ndugu hao wanafanya jitihada za kumaliza tofauti zao.

WASANII ZAIDI YA MIA MOJA WAFANYA VIDEO YA WIMBO WA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR(TANZANIA)


Zaidi ya wasanii mia moja wakiwemo wasanii wa bongo fleva,taarab,gospel,na wengineo wameungana kwa pamoja na wamerekodi wimbo wa wa kuhamasisha sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) TANZANIA @50 Zaidi msikilize Mrisho Mpoto akizungumzumzia wimbo huo.

WASTARA,MONALISA,RIHAMA WAKWEA 'PIPA' KWENDA UINGEREZA KUFANYA MOVIE

Wasanii wa Bongo Movie wameondoka siku ya jana kuelekea nchini Uingereza kwa ajili ya kufanya movie,msanii mwingine aliyekuwa kwenye msafara huo ni Cloud.

WASANII TISA AMBAO HAWANA NIDHAMU BONGO


1. T.I.D
Kauli mbaya na dharau ni kawaida kwake maneno kama mseeenge kuuuma na nk yanauhusiano mzuri na mdomo wake

2. Chidy Benz
Ukisikia kampiga mtu alafu ukashangaa basi utakua mgeni nchini na labda kama hujawai kumsikia msanii huyu.ngumi ndio maisha yake sitoshangaa akiingia kwenye masumbwi mda wowote.alama ya nondo iliyopo upande wa kulia wa kichwa chake ndio ishara tosha ya misukosuko anayokumbana nayo

4. Lord Eyes
Unga unga unga huo ndio wimbo unaomfanya msanii huyu acheze michezo ya wizi kila kukicha ni umaarufu tu unamuokoa watu wanashindwa kumtenda vibaya sababu wanamjua mfano ommy dimpoz aliamua kumpotezea tu kisa anamfahamu.

5. Hemed
Alipokua tusker project fame aliwai kujibizana na jaji ian kiasi cha kutaka kupigana .kifupi ni mtu asiefikiria kabla ya kuzungumza anaweza kukujibu jibu lolote bila kutambua kama yy ni star. Bado hajakua uvumilivu wa kiutu uzima hana mropokaji mzuri sana

6. Dully Skyes
Matusi kwake ni kawaida na dharau kidogo hasa za mdomoni na pia ukiwa unamuhoji kua makini maana anaweza akaongea neno baya redioni bila shaka aliwai kumtongoza dj fetty hewani na kumtukana suddy brown hewani lakini ni muelewa kwani baadae aliomba radhi uswahili na kukosa shule tu vinamsumbua

7. Afande Sele
Kila mtu kagombana na mtu huyu hio ni story ambayo ipo kila kona ya mtaa kuhusu mtu huyu anaongea kwa busara ila akipata mambo yake anaweza kufanya jambo ambalo litakufanya ufikiche macho kuhakikisha kama kafanya yeye au mtu mwingine aliwai kutishia kuua,kuvua nguo jukwaani, na nk

8. Matonya 
Huyu yeye ni utapeli tu ndio tatizo lake ukimpa hela ya show kua nae makini sana

9. Mh. Temba
Ukiwa una sikiliza nyimbo ya huyu jamaa usikae na mtu mzima maana utaaibika tu matusi ni moja ya vitu anavyopenda kuvitamka na haonyeshi dalili ya kubadilika kila siku

Taja Msanii Mwingine unayemjua ana Tabia Mbaya

Friday, April 18, 2014

BAADA YA KIMYA KIREFU, PENNY ARUDI KWA KISHINDO KWA KUACHIA PICHA ZIKIONESHA MAUNGO YAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII..!!

Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, tazama hapo chini picha hiyo

Thursday, April 17, 2014

Diamond achaguliwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2014


MTV Base  wametangaza watakao wania tuzo MTV Africa Music Awards 2014. 

Mwanamziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo hizo kupitia vipengele viwili moja wapo ikiwa ni Best male ambapo anachuana na Anselmo Ralph (Angola), Davido (Nigeria), Donald (South Africa) na Wizkid (Nigeria).
kipengele cha pili ambapo Diamond amechaguliwa ni kipengele cha Best Collable ambapo wimbo wa "My Number 1" aliomshirikisha Davido unachuwana na  Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria) R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria) Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
kupitia akaunti yake yainstagram Diamond ameandika 
 "I strongly believe that its without a doubt The Undying support from the media, my beloved fans plus my fellow artists that has made me get nominated in these categories.... I really appreciate it alot... So lets put more energy and support Now so dat I actually get the awards Cause if I win this will bring more Pride and Respect to our Nation.....
( Naamini kutokana na support kubwa toka kwa media, mashabiki, Wasanii na wadau mbalimbali ndio zimesababisha mimi kuteuliwa na kuwa mmoja wa wakilishi katika tunzo hizi... kiukweli nawashkuru sana, tena sana... Tafadhari naomba mzidi kuniwekea nguvu na support zaidi ya mwanzo ili tuweze kutwaa tunzo hizi...na kuleta sifa na Heshima nyumbani....)"



hii ndio list nzima Photo: I strongly believe that its without a doubt The Undying support from the media, my beloved fans plus my fellow artists that has made me get nominated in these categories.... I really appreciate it alot... So lets put more energy and support Now so dat I actually get the awards Cause if I win this will bring more Pride and Respect to our Nation.....
( Naamini kutokana na support kubwa toka kwa media, mashabiki, Wasanii na wadau mbalimbali ndio zimesababisha mimi kuteuliwa na kuwa mmoja wa wakilishi katika tunzo hizi... kiukweli nawashkuru sana, tena sana... Tafadhari naomba mzidi kuniwekea nguvu na support zaidi ya mwanzo ili tuweze kutwaa tunzo hizi...na kuleta sifa na Heshima nyumbani....)


MUSIC CATEGORIES

Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)

Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)

Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)
Uhuru (South Africa)

Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)

Best Collaboration:
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)

Artist of the Year:
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)

Song of the Year:
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee - ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)

Best Hip Hop:
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)

Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)

Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)
Michael Loman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)

Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)

Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola)
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)

NON MUSIC CATEGORIES

Personality of the Year:
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)

Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

Voting for the MTV Africa Music Awards is open HERE from 16 April 2014 until midnight on 4 June 2014.

For more information on the MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban, please go mama.mtv.com like us on Facebook, follow us on Twitter @MTVBaseAfrica. To join the conversation about the awards please use the hashtag #MTVMAMA.

Gagasi FM is the official radio media partner of the 2014 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban.
Copyright : MTV Base

Wednesday, April 16, 2014

MRISHO MPOTO AVUNJA UKIMYA..!! AAMUA KUNUNUA GARI YA HESHIMA..!! TAZAMA HAPA PICHA

PENNY AAMUA KUJIINGIZA BONGO MOVIE BAADA YA UELEKEO WA MAPENZI NA DIAMOND KUPOTEA..SOMA HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibEVPjX-uJHiHuxUsKxIEkWXlVHgLovff0MrC7IvvXUr7Fza5hiS-td6ZlQ61PHhyphenhyphenhpPAjAbrHRJheTcMy1dt4RARhEeNwxegtfkWQK4JWZqPxqvEVBNaRkPEr4mB3R892wkTzHc01cTVD/s1600/Penny.jpg
Baada ya Mwanadada Penny aliyewahi kutoka na Msanii Diamond Platinum kupost na kwenye Account yake ya Instagram akionekana amekaa meza moja na msanii wa Bongo Movie Jacob Steven (JB) pamoja na mzungu mmoja na kuandika kuwa "kuna kitu kikubwa kinakuja katika viwango vikubwa na kibiashara zaidi" maswali ya watu wengi ni Je mwanadada huyo ameamua kuingia rasmi kwenye soko la Bongo Movie au ni Mchongo tu flani anategemea kuupiga, hilo hatujui lakini tusubiri inawezekana ikawa ni movie -

KUTANA NA KIBIBI CHENYE MIAKA 55 LAKINI ANAONEKANA KAMA BINTI MWENYE MIAKA 25...!! TAZAMA PICHA HAPA...!!






Anaitwa Shellie Bo Talley ana mkiaka 55 ni mama na anawajukuu lakini anaonekana kama binti mwenye miaka 25, Shellie ni mtangazaji na pia ni CEO wa Blaq Pearl Entertainment.

KUMBE DIAMOND PLATNUMZ ANA MTOTO JAPO ALIFICHA KWA MUDA???? FAHAMU UNDANI WAKE BAADA YA YEYE KUFUNGUKA

Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.Kwenye mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)

Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben 10!

Kumbe Diamond ana mtoto tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa katuni? Swali ni kwanini hajawahi kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo September mwaka jana, moja ya magazeti ya udaku ya kampuni ya Global Publisher, yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye Sasha Juma aliyedai kuwa amezaa na Diamond.


Sasha akiwa na mtoto anayedai ni wa Diamond
Msichana huyo alidai kuwa likutana na Diamond Mlimani City jijini Dar es Salaam na akampenda kwakuwa anafanana na Wema Sepetu (kipindi hicho walikuwa wameachana. Gazeti hili lilisema wawili hao hawakuchukua muda na wakaanza uhusiano uliowafanya wakutane kimwili na kupelekea msichana huyo kushika ujauzito.



Lilidai asha alimpa taarifa staa huyo ambaye alimuomba asitoe mimba kwakuwa atamsomesha msichana huyo aliyefukuzwa shuleni na pia kuahidi kumlea mtoto huyo.


“Ni kweli nimezaa na Diamond. Mtoto ana miezi mitatu sasa. Unajua yeye ndiye alinikatisha masomo na kusema kuwa ataniendeleza na atamlea mtoto hivyo alivyokaa kimya sikuona tena sababu ya kumfuatilia kwa vile kwetu napata kila kitu,” gazeti hilo lilimnukuu Sasha.

Lilisema lilipomtafuta Diamond kwa simu ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya, alijibu: Hahahaaa…mbona hiyo ishu ni kubwa sana kwangu! Ukweli huyo mwanamke simjui kabisa. Lete stori nyingine achana na hiyo.”

So kama Diamond ana mtoto, huenda aliamua kumkubali mtoto huyu na pengine ndiye mtoto huyu anayependa kuangalia katuni ya Ben 10!

MREMBO PENNY!!




BINTI HAMISA!!!



BE INSPIRED BY FOLAKE KUYE HUNTOON!!!!