So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Huwezi
amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa mwisho
kabisa ambao siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont waste your
energy.. you have so much to accomplish ndugu.. mi hunipi tabu kabsa,
kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani sanasana unanichekesha tu na vituko
visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio kosa lako maskini…
ungekuwa
una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI HIKI.. na
huenda hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana hapo ulipo
hujielewi bado..
Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya @wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii..
Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya @wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii..
sometimes inabidi coz
mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”
Wema
naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. dont waste ur tym to
fools maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia
wanatamani wawe kama wewe… na si kingine its called ENVY.”
“Sina
hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo.. maana
ghafla tu anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta kick
kwa kugombana na watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.
Japokuwa
Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, ni Ray C mwenyewe
ndiye aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye mtandao huo
akisema:
“Hihihi
kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au wanaumia.
Tatizo skuliiiii shauri yako #uki skuli kdg wala matatizo hakuna ila km
huja skuliii mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya yako achana na
watu weusi,” aliandika Ray C.
Aliongeza
tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana lolote,Watu
wameanza shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya
kitambooooooooo,tushauza sura sanaaaaaaaaaa zaid ya miaka. 12
namuangalia simmalizi maana haeleweki.”
Haukuishia hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.
“Nashusha
sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na maisha ya
watu wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa lkn mi ni
binaadamu ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe sasa
USIPANIC.. jipange. Ushafanywa yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu wa
zamani,” aliandika Zamaradi kwenye picha hiyo.
Ray C alijibu kwa kupost video hii:
No comments:
Post a Comment