Fiesta Dodoma imevunja historia yake yenyewe, kwa kujaza kuliko miaka
mingine yote. Fiesta imefanyika siku ya jna ndani ya viwanja vya Jamhuri
na kuacha historia ya nyomi kama unavyoona kwenye picha..Pichani ni
Dully Sykes akifanya yake on the stage.
Stamina na Young Killer
Kankaraga
Diamond na Ney wa Mitego
No comments:
Post a Comment