Maneno machafu yaliyokuwa yakiandikwa na Rapper Gucci Mane kupitia mtandao wa Twitter dhidi ya wasanii mbali mbali wakubwa yaliwaacha watu wakijiuliza maswali dhidi ya afya ya akili ya Rapper huyo
http://djfetty.blogspot.com/2013/09/gucci-mane-achafua-twitter-awadiss-kila.html
Baada ya muda Gucci alifuta tweet yake lakini sasa hivi ameifungua upya na kuanza kutuma tweets zenye kuomba msamaha kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na mashabiki wake huku Birdman, Drake na Ricky Ross akiwataja kwa majina.
Gucci pia amekiri kuwa addicted na madawa ya kulevya aina ya "lean" na kutangaza kuwa atajiunga na "Rehab" mara tu baada ya kutoka jela.
No comments:
Post a Comment