Hizi
ni baadhi ya picha za kundi la wacheza uchi / nusu uchi
maarufu kwa jina la Baikoko lenye maskani yake Tanga....
POOL PARTY
Monday, July 8, 2013
UMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE UNATOKANA NA SKENDO ZA PICHA CHAFU
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.
Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....
Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue...
Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu....
Miongoni mwa skendo hizo ni:
1.Kupiga picha za uchi
Hili
ni kundi la wasanii chipukizi wanaosaka umaarufu kwa gharama
yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini pia ni skendo
ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane.... Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus
2.Kutumia madawa ya kulevya
Hili
ni kundi la wasanii ambao hutumia madawa ya kulevya na kisha
hukimbilia katika vyombo vya habari na kujitangaza kwamba ni
wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"
3.Kuvaa nusu uchi
Hili
ni kundi lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii wenye
imani ya kuwa mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na
matiti yao yakiwa wazi ...Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua.
4.Kutovaa chupi na kujipitisha mbele ya kamera
Hili
ni kundi la wasanii wachache ambao umaarufu wao umekwisha.Ili
kujiinua tena kwa jamii, wasanii hawa hutumia skendo nzito kama
hizi ambazo huifanya jamii istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.Wednesday, July 3, 2013
Nu joint: Nikumbatie / Joe Makini feat Fundi Samweli
Joe Makini ametambulisha wimbo wake mpya leo hii "Nikumbatie" akiwa amemshirikisha producer wa wimbo huo "Fundi Samweli."
"Huu wimbo ni wa mapenzi kwasababu wakati nau-record mwanzoni mwa mwaka
jana kabla Fundi hajaondoka nilikuwa katika feelings hizo, na ilikuwa
nitoe mda kidogo lakini wakati nataka kuuachia Nikki akawa anatoa wimbo
wake, baada ya kutoa ikawa niachie lakini kutokana na msiba wa Ngwea na
Langa ikabidi nitulie kwanza na sasa naona ni wakati muafaka wa kuachia"
Joe makini pia alizungumzia habari iliyopo sasa ya Mtayarishaji mkali wa
Videos za kibongo "Adam Juma" kutangaza kuacha kutengeneza videos na
kuangalia michongo mingine.
"Kweli hii habari sio nzuri kwasasbabu sidhani kama kuna atakae ziba
pengo lake kwa sasa, ila najipanga kushoot video ya wimbo huu wiki
ijayo, na bado sijajua nani atakae fanya video ya wimbo huu". amesema
Joe.
Ludacris ashtakiwa kwa kuiba wimbo "Sex Room" mwaka 2009
Rapper kutoka Atlanta, Ludacris ameshtakiwa na msanii emcee Marvo kwa
kuibwa wimbo "Sex Room" aliouachia mwaka 2009. Marvo anadai yeye ndio
alitoka na idea ya kwanza (2009) ya wimbo huo ambao Luda amemshirikisha
Trey Songs.
Kutokana na mtandao wa AOL, Marvo alikuwa akifanya kai na producer
anaeitwa Kajun ambae mwisho wa siku alimgeuka na kumpa wimbo huo
Ludacris, na licha ya kumpa wimbo huo, hajapokea hela yoyote ya malipo
kwa kuutumia wimbo huo, licha ya kuwa Luda ametumia mashairi yake mengi.
Kiasi cha pesa anachokidai bado hakijajulikana
"Sex Room" ni single iliyokuwa katika album ya Luda "Battle of the Sexes" album
ambauo ameiachia hivi karibuni, na tangu kuachia album hiyo amekuwa
akifanya kazi ya ku-record album mpya "Ludaversal", ambayo ana-plan
kuiachia miezi kadhaa ijayo. kwasasa ameachia mixtape alioipa jina la
"IDGAF" aliyoichia mwezi wa tano.
Baada ya shutuma hizo kutoka Luda alijibu, "kusema ukweli inaonekana
kama mtu mwingine anataka kutengeneza mkwanja kwa kutumia kazi ya mtu
mwingine"
Baada ya Huddah kusema hana biff na Diva tweets za Diva zaonyesha hajamalizana nae
Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea
kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva
Loveness love.
kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Sasa leo hii katika interview tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano
na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza
hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni
yangu mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama
uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby",
why? i just find it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that"
amesema Hudda
kwa inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview
ikiendelea, na haikumchukua dakika sifuri, akahusika twitani na
kuandika
"WASANII WA BONGO MOVIE NI WEZI WA WAUME ZA WATU" AMANDA
MSANII wa filamu za Kibongo, Tamrina
Poshi ‘Amanda’ amesema anawachukia sana wasanii wa kike wa Bongo Movie
kutokana na tabia zao za kuchukuliana mabwana.
Amanda alisema wasanii wengi wa
filamu wana tabia za kuibiana mabwana kitendo ambacho kinamkera na
kusababisha kuwachukia kwani wanavyofanya siyo heshima na inawaharibia
sifa kwa jamii pamoja na kuichafua tasnia yao kwa jumla.
“Nawachukia na ndiyo maana sitaki
kuwa na rafiki Bongo Movie kwa sababu wamekuwa na tabia mbaya sana
mifano halisi ipo lakini siwezi kuitaja,” alisema.
Mbali na hivyo, Amanda alisema kuna
wasanii wawili wa kike walikuwa marafiki sana hata kwenye mitandao
walikuwa wakiitana mawifi lakini hivi sasa hawaivi, kisa kunyang’anyana
bwana
O'NEAL ANAZIDI KUMFAIDI DADA ETU FEZA MJENGONI, CHEKI ANAVOMLA DENDA WAZIWAZI AKATI ATA MAHARI AJATOA #ROHOINAUMA
Subscribe to:
Comments (Atom)











