POOL PARTY

POOL PARTY

Tuesday, May 5, 2015

MPIGIE KURA BK SUNDAY KUMWEZESHA KUPATA TUZO YA KILI MUSIC AWARDS

JINSI YA KUPIGA KURA:
andika neno KTM  kwenda 0686528813 kama unatumia whatsapp alafu fata maelekezo, mfano chagua kiswahili baada ya hapo andika herufi A, alafu nenda adi namba 28; wimbo bora wenye  vionjo vya asili andika 28 omwana .utakuwa umemuwezesha Bk Sunday kupata tuzo za kili music awards 2015 
Pia kwa sms za kawaida tuma ujumbe kwenda 15415 pia fuata maelekezo yaleyae kula yako ndio ushindi wake na ushindi wa nyumbani piga mara nyingi kadri uwezavyo.

No comments:

Post a Comment