Hakuficha
mapenzi ya kweli aliyonayo kwa mpenzi wake mpya waliekutana kwenye
jumba la BBA 2013, Mbotswana Oneal… kuna wengine walichukulia kama mzaha
pale Feza alipohojiwa na kusema wazi kwamba anampenda kiukweli Oneal na
chochote kinaweza kutokea kati yao.
Taarifa ikufikie kwamba tayari Feza
ameshaondoka Tanzania na kwenda Botswana kwa mpenzi wake ambapo amepata
mapokezi makubwa ambapo kunatarajiwa kufanyika party ya chakula cha
jioni cha mastaa hao ambao watajumuika na watu wengine pia watakaolipa
kiingilio.
No comments:
Post a Comment